GlobalVoices katika
  • Tafuta
  • Nchi
  • Mada
  • Waandishi

Manifesto

Iliongezewa 19 Aprili 2012 10:53 GMT

spacer Makala hii inapatikana pia katika:

Filipino · Pahayag
عربي · البيان التأسيسي
Ελληνικά · Το Μανιφέστο του Global Voices
한국어 · 글로벌 보이스 선언문
Malagasy · Teny ierana
македонски · Манифест
Català · Global Voices Manifesto
Dansk · Global Voices Manifest
Български · Манифест
Português · Manifesto
Aymara · Uñxkawi
bahasa Indonesia · Manifesto
Deutsch · Manifest
Français · Manifeste
Italiano · Manifesto
Español · Manifiesto
Nederlands · Manifest
srpski · Manifest Global Voices-a
Svenska · Manifest
বাংলা · গ্লোবাল ভয়েসেস ঘোষণা
русский · Манифест
Magyar · A Global Voices kiáltványa
فارسی · مانیفست
Türkçe · Manifesto
Shqip · GV Manifesto
اردو · منشور
हिन्दी · Manifesto
polski · Global Voices Manifesto
ျမန္မာ · ကမ္ဘာ့​အသံ ခံယူ​ချက်
አማርኛ · 'የዓለም ድምጾች' ማኒፌስቶ
ភាសាខ្មែរ · សេចក្ដី​ប្រកាស​របស់ ក្លូប៊ល វ៉យស៍​
English · Global Voices Manifesto
spacer  Kwa ajili ya kuchapisha

spacer Tunaamini kauli huru, haki ya kujieleza, na haki ya kusikiliza. Tunaamini haki ya upatikanaji wa zana za mawasiliano na habari kwa watu wote.

Kufanikisha hayo, tunaazimia kumwezesha kila anayetaka kujieleza awe na njia za kujieleza, na kwa kila anayetaka kusikiliza awe na njia za kusikiliza.

Kutokana na faida za zana mpya za mawasiliano na habari, kujieleza hakutawaliwi tena na wanaomiliki njia za uchapishaji na usambazaji, au serikali zinazozuia uhuru wa fikra na mawasiliano. Hivi sasa kila mmoja anaweza kuwa na nguvu za vyombo vya habari. Kila mmoja ana uwezo wa kuelezea simulizi zake kwa dunia nzima.

Tunaazimia kujenga maelewano penye utengano ili tuweze kufahamiana kwa undani zaidi. Tunaazimia kufanya kazi pamoja kwa ufanisi na kuchukua hatua kwa nguvu zaidi.

Tunaamini nguvu za mahusiano ya moja kwa moja. Udugu kati ya watu toka tamaduni mbalimbali ni wa karibu, kisiasa, na wenye nguvu. Tunaamini majadiliano bila kujali tofauti zetu ni muhimu kwa ajili ya dunia ya kesho ambayo ni huru, ya haki, ustawi na endelevu…kwa wananchi wote wa sayari hii.

Wakati tukiendelea kufanya kazi na kuongea kama watu binafsi, tunaazimia kutambua na kuendeleza maslahi na malengo yetu ya pamoja. Tunaahidi kuheshimu, kusaidia, kufundisha, kujifunza, na kusikilizana.

Sisi ni Sauti za Dunia.


Iliongezewa 19 Aprili 2012 10:53 GMT

gipoco.com is neither affiliated with the authors of this page nor responsible for its contents. This is a safe-cache copy of the original web site.